Alicho kisema wema sepetu kuhusiana na uhusiano wa Diamond Platinum na Zari the boss lady

Miss Tanzania na Mwigizaji wa bongo Movie Wema sepetu katika interview yake na Gossip Cop katika kipindi cha 
U Heard ya December 29 ambapo Gossip alihudhuria shughuli ya kumtambulisha msanii mpya ambaye atakuwa kwenye Management ya Endless Fame iliyofanyika Tegeta Dar siku ya jana December 28, akapata
nafasi ya kuzungumza na Wema na jinsi
anavyojisikia kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari.

Wema alisema anachukulia fresh, hana tatizo lolote na yoyote kati ya wawili hao kwa sasa ameendelea na mambo yake.

“... Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish him all the best and ammmm… I wish him happiness … ” Wema Sepetu alisema .

Kwa bahati mbaya wakati wakijiandaa kutoka ukumbini hapo baada ya mahojiano hayo Wema alipata jeraha baada ya kubanwa kidole
na mlango na kulia kwa sauti kama mtoto.
hizi ni baadhi ya picha za Mond akiwa na mtoto mzuri Zari the boss lady

Ukihitahi kusikia sauti tuma neno NAHITAJI kwenda namba 0755 66 59 31 kwa watumiaji wa Whatsap. asante na endelea kutembelea gami dee tz

Hakuna maoni