Mtandao wa XXL umeripoti beef
iliyoibuka weekend hii kati ya rappa YG na producer wake ambaye amemtoa kwa nyimbo kale DJ Mustard.
Decemba 29 Dj Mustard aliweka wazi
kuwa hataki kuulizwa maswali kuhusu
muziki na Album ya YG Kwani hajalipwa
na wala hategemei kupata mapato yake
kutoka kwenye kazi alizofanya naye.
Dj Mustard ndiye amesimamia
utengenezwaji wa album ya YG ‘My
Krazy Life’ Mustard aliandika instagram
“ Stop asking me about the YG sht!!! I
don’t know about none of it on top of that I still ain’t got payed for his album! So I don’t gives a f ck,” Mustard alifuta post
baada ya muda mfupi.
Yg alijibu mashambulizi kwa matusi na
kumtishia kuwa anajua studio yake ilipo
na muda wowote anaweza kuibuka
kumfanyia kitu chochote.
endelea kutembelea gami dee tz
noma sana
JibuFuta