PICHA: Mjengo wa jux ni amaizing

Msanii wa rnb Jux aka African Boy
 ameshare picha na watu wake kuwa kwa sasa ndoto zake sio
za kitoto tena.

Kwenye picha aliyoweka instagram,
iliambatana na ujumbe uliosema

” Done with childish dreams on to bigger
things #africanboy #inGoditrust
#icantwait #soon ”

Hakuna maoni