Albam mpya ya Kendrik Lamar ya shika namba moja Billboard

Rapa Kendrick Lamar ametua kwenye
sehemu ya kwanza kwenye chati za
album za Bilboard 200 na album yake
yake ya To Pimp a Butterfly. Rapa huyu
kutoka mitaa ya Compton amefanikiwa
kutoa album yake ya tatu mapema
March 16,na kuuza kopi 363,000 kwenye
wiki ya kwanza.

Album ya Kendrick iliyopita good kid,
m.A.A.d. city ilishika namba 2 kwenye
wiki yake ya kwanza na kuuza kopi
241,000 na mpaka sasa imefikisha kopi
milioni 1.4 duniani.

Hakuna maoni