Baada ya kuitwa Mwizi, T.I afunguka haya

Rapa T.I. mtu yeyote mwenye “common
sense” atajua yeye hawezi kuiba muziki
wala wzo la msanii mwingine.

Baada ya kulipwa dola milioni $7.3
kutoka kwa producer Pharrell na msanii
Robin Thicke, Familia ya Marvin Gaye
sasa imeanza kumhughulikia rapa T.I
ambaye pia ameweka sauti kwenye
wimbo wa “Blurred Lines”.

T.I Ameulizwa na Tmz kuhusu kesi hii
nakujibu ” Sijui kinachoendelea, sihusiki
na hio kesi kabisa na mimi napenda
sana kazi za Marvin Gaye, ila
nawakubali sana Pharrell na Robin,
Mimi ni mwandishi, mbunifu, siibi
mawazo ya watu, na mtu yeyote mwenye
akili ataona hilo”.

Hakuna maoni