VIDEO: Diamond Platnum ameachia VIDEO mpya kwa kushitukiza Khadija Kopa kala shavu huku Director ni Hanscana Itazame hapa

Tumezoe kuona promo kubwa kwa wasanii wengi Duniani kabla ya kuchia video au audio ili kuwaweka tayari mashabiki wao kwa kusubili ujio wao.

Himekuwa tofauti sana kwa Mondi ambaye ameamua kuachia video kimya kimya bila promo.

Wimbo huo amemshirikisha Khadija kopa a.k.a Malkia wa mipasho huku muongozaji ni Hanscana moja kati ya maditector wanao kuja kwa kasi sana


Hakuna maoni