Wanii wengi wamekua wakishare picha za mijengo yao jambo linalo onyesha mambo si mabaya kwenye muziki.

Tumekuwa tukiona nyumba za mastaa
wa nje ambazo huwa na vitu vingi vya
kifahari kama mabwawa ya kuogelea, tv
kwenye choo na mabafu na hata jikoni.
Hii ni nyumba ya msanii kutoka
Tanzania Diamond Platnumz iliyopo Dar
es salaam maeneo ya Tegeta. Leo
ametuonyesha Jiko, Sehemu ya kuogelea,
Hakuna maoni