Danny msimamo ni moja kati ya marapper wakongwe kwenye game ya bongo flavour na yupo pia katika kundi la Vinega au Ant- Virusi.
Hapa kaguswa na mauaji ya Albino ameamua kufanya ngoma hii 'mimi ni wewe' fanya kuipakua hapo chini.
#Me_Nawe
Posted by Gamideetz Gadi Mlwilo on Wednesday, September 6, 2017
Hakuna maoni