Natumaini unaipata vizuri sana ngoma ya SOPHIA kutoka kwa mjamaa ben paul kama ni ndio basi good news ni pale Msechu alipoamua kuirudia ngoma hiyo kwa viwango vya kimataifa nika alichokifanya Christian Bella kwenye ukimwona ya Mondi
#Me_Nawe
Posted by Gamideetz Gadi Mlwilo on Wednesday, September 6, 2017
Hakuna maoni