Nick Minaj na Meck Mil baada ya kujificha sana sasa penzi wazi wazi

Wengi wamekua katika minong'ono juu ya Minaj na Meck Mil ambao walikuwa wakijificha ficha sana katika uhusiano wao lakini kwa sasa kama penzi lipo wazi.

Wapenzi hawa walionekana karibu sana kwenye ziara ya Nicki Minaj The Pinkprint Tour huko Paris ufaransa.

Hakuna maoni