Alicho kifanya Ney Lee kwenye hii sophia ya ben paul me si msemaji fanya kuidownload hapa uone alivyo uwa

Tumeanza kusikia Sophia original vassion kutoka kwa mzee mzima ben paul lakini hatukukaa sawa peter msechu naye akafanya Remix na watu wakampa hongera zake tukaja kusikia remix ya pili kutoka kwa Quick Racka napo wakaongea mengi  na kukubali ufanisi wa mshikaji.

sasa good news ni kwamba Ney lee ameamua kujibu kama Sofia huku akihusisha tack zote tatu fanya kupakua hapo chini uisike producer ni mswaki.

Hakuna maoni