Big Sean amchimba mkwara Justin Biber

Rapa Big Sean amempiga mkwara
msanii wa pop Justin Bieber baada ya
msanii huyu kumbambia mpenzi wa
rapa huyu ambaye ni mwimbaji Ariana
Grande wakiwa kwenye show wakati wa
ziara yake ya “Honeymoon Tour” mjini
L.A. Ariana Grande alifanya nyimbo mbili na Justin ambazo ni “Love Me Harder” na “As Long As You Love Me”.

Big Sean aliandika Twitter “ This kid is
about to learn not to touch my girl like
that. Beliebe that. ”

Hakuna maoni