GoodNews kutoka kwa Chriss Vituko mzee wa 'changamka'


Heatmeker wa changamka Chriss Vituko  ambaye kwa sasa ni moja kati ya wasanii wanakuja kwa kasi kwenye game ya bongo flavour amewataka fans wake kukaa mkao wa kula.

Heatmeker huyo wa changamka iliyopikwa na C9 akiwa amempa shavu Mr blue amedai soon tutakua na mzigo wake mpya wakati akizungumzana na gami dee kwenye 180 Power ya 99.5 Ice fm radio makambako.

"nashukuru Mungu wanaelewa na soon naachia ngoma mpya inaitwa wake up amefanya c9 kama kawa" alisema vituko  


Hakuna maoni