Jamaa aombea Aunty Ezekiel anapojifungua afe na mtoto wake Mungu samehe


Jamaa moja kupitia mitandao ya kijamii amemwandikia ujumbe mzito mwanadada Aunty Ezekiel jambo ambalo kwa upande wa kibinadam si  uungwana hata kidogo kuandika maneno yasio ya mazuri  hata kidogo kwenye picha moja aliyoiweka mwanadada huyo ambaye ni mjamzito .

Aunty Ezekiel aliweka picha yake akiwa na Wema Sepetu ambaye hapo juzi aliamua kufungua juu ya tatizo lake linalomsumbua la kutoweza kushika ujauzito, na baada ya kuweka picha hiyo ndipo alipopatwa na dhahama hiyo baada ya jamaa huyo kuandika kuwa anatamani aunty Ezekiel akijifungua tu afe pamoja na mtoto wake huyo, jambo ambalo si la kibinadamu kabisa kumuombea mtanzania mwenzako

“Yani ukijifungua naomba ufe na mimba yako maana utakachozikaa kimelaaniwa” Hayo ndio yalikuwa maneno ya kijana huyo.

Baada ya kauli hiyo Aunty Ezekiel aliamua kuandika haya yafuatayo…

“Ukiacha yote ktk Maisha naamini Duniani tunapita na kila mmoja wetu yupo ktk safari ugumu ni kutangulia na Mwenyezi Mungu si wa kwako wala wakwang na ndio mana kila mmoja anatimiziwa haja zake kwa nafasi yake Nataka nikwambie tuu ww kaka uliyeandika maneno hayo kwang leo kuwa ww ni wa Mwenyezi Mungu pia dua lako linawezekana kusikilizwa na likasikilizwa haraka couse wala haupo peke yako ila ww ndie pekee uliepata ujasiri wa kuandika wengine watakuwa wanaomba kwa chini ila wote tumuombae hayo ni huyo huyo mmoja hvyo bac tumuachie yy Inshaalah ndio anajua mwisho wa kila mmoja wetu.Furaha ni ya zamu utakapokuwa unafurahia Umauti wang Familia yang itakuwa ikilia kwa hilo na ifikapo kwako ww unaeniombea hilo kila kukicha ni hvyohvyo pia kwa familia yako.Hvyo nina Aman yakutosha tu kwakuwa mm ni wakwake pia Sikujiumba.WHN JESUS SAY YES NO BD CAN SAY NO....love u all.....”

Mungu yupo pamoja na wewAunty Ezekiel gami dee tz inakupa pole kwa yote.

picha chini ni baadhi ya maoni ya fansi wa Aunty

Hakuna maoni