Kumbe Pam daffa wa Nimempata ni mdogo wa Mesen Selecta wa damu

Mkali wa Nimempata ambaye anafanya vizuri kwenye mziki wa afro pop Pam d ni ndugu wa dam na mesen selecta
Kupitia kipindi cha 180 Power cha Ice Fm Radio Makambako kinachofanywa na Gami the docter Pam D ameelezea ukaribu wake na Mesen wa Difatalite Music kuwa Mesen ni kakaake wa dam.

"Mesen ni kakaangu wa damu na si wakutengeneza" alisema pam d "tayari   nimefanya ngoma kama tatu ila nasubili kidogo maana naona nimempata bado inafanya poa" 

kuhusu wasanii anaowakubali na kuwaelewa alisema ni Yemi alade na Rihana lakini maproducer ambao bongo hii anawakubali ni pamoja na Mako, P Majan, Abby dady.

Jambo kubwa Pam dee amewaomba fans wake kumpendekeza kwenye TUZO ZA KILI MUSIC AWARD kama msanii chipukizi na wimbo bora wa Afro pop

Hakuna maoni