Majambazi wampora mzungu Kinondoni #RK

#RK
BREKING NEWS
Muda si mrefu majambazi wamempora mzungu kinondoni karibu na stanbic wakakimbia, wamekamatiwa mtaa ya redcross Wanabunduki mbili,kuna jamaa alijitolea kuwafuata nyuma nyuma mpaka hapo redcross kwenye taa ndio akawaa block coz kuna askari, jamaa walipo-blockiwa wakashuka na mitutu, askari wa pikipiki wakawaweka chini ya ulinzi fasta.
Na Rashidi Rukungu

Hakuna maoni