Majambazi wapora Fedha na kuua Moshi

#RK
Taarifa kutoka Moshi Kilimanjaro ni kuwa majambazi yamevamia gari dogo hiace lililokuwa limebeba kiasi kikubwa cha fedha Mali ya Bonite na kuwaua dereva na mlinzi wa kampuni kwa kuwamiminia risasi za mvua kisha kutoweka na fedha hizo. Mlinzi ametambulika kwa Jina mlinzi ni Shamba na dereva ni Mselemu.
(Picha story na Rashid Rukungu)

Hakuna maoni