New AUDIO Chris brown feat Tyga & Wiz Khalifa 'see you again'

Chriss Brown kawakutanisha tena Tyga na Wiz Khalifa kwenye ngoma hii ambayo ni remix na ngoma inaitwa 'see you again' 

Humo ndani kila mmoja ameonyesha utofauti wake mkubwa sana ambapo Brown kaimba radha moja tam sana wakati tyga kapiga vers ya kwanza na mzee mzima Wiz kauwa vers ya mwisho.

fanya kuipakua hapo chini upate kuonja radha ya good music

                        DOWNLOAD HAPA

Hakuna maoni