Nimekusogezea majina ya alioteuliwa kwania vipengele tofautitofauti KTMA 2015

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanajaro Premium Lager leo wametangaza rasmi wateule (Nominees) wa
vipengele 32 vya tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Award).

Mratibu wa tuzo za muziki kutoka BASATA, Maregesi akitangaza majina akiwa pamoja na
mwakilishi wa AUDITAX International, Pavel
Gabriel na Pamela Kikuli, meneja wa Bia ya Kilimanjaro

Mchakato wa kuanza kupiga kura kwa kutumia njia zilezile ili kuchagua mshindi kwa kila
kipengele utaanza tarehe 4 May 2015 hadi June 5,
2015.

1. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA-KIUME
1 MZEE YUSSUF
2 CHRISTIAN BELLA
3 DIAMOND PLANUMZ
4 ALLY KIBA
5 NYOSHI EL SAADAT

2.MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA-
KIKE
1 VANESSA MDEE
2 KHADIJA KOPA
3 ISHA MASHAUZI
4 SHAA
5 DAYNA NYANGE

3.MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB
1 MZEE YUSSUF
2 PRINCE AMIGO
3 HASSAN VOCHA
4 HASSAN ALLY
5 MUSSA KIJOTI

4. MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA
1 ALI KIBA
2 BEN POL
3 JUX
4 DIAMOND
5 BELLE 9

5.MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1 JOSE MARA
2 KALALA JUNIOR
3 KHALIDI CHOKORAA
4 CHAZ BABA
5 NYOSHI EL SADAT

6.MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
1 KHADIJA KOPA
2 ISHA MASHAUZI
3 HADIJA YUSSUF
4 LEIYLA RASHID
5 FATUMA NYORO

7.MWIMBAJI BORA WA KIKE – BONGO FLEVA
1.LADY JAY DEE
2.VANESSA MDEE
3.LINAH
4.GRACE MATATA
5.MALAIKA

8.MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
HIKI KIMEKOSA MTU

9.WIMBO BORA WA TAARAB
1 HASID HANA SABABU-HADIJA YUSSUF
2 LADY WITH A CONFIDENCE-KHADIJA KOPA
3 CHOZI LA MAMA-MZEE YUSUPH
4 FANYA YAKO-LEYLA RASHID
5 MAPENZI HAYANA DHAMANA-ISHA MASHAUZI

10.WIMBO BORA WA MWAKA
1 MWANA -ALI KIBA
2 NANI KAMA MAMA -CHRISTIAN BELLA FT
OMMY DIMPOZ
3 GERE -WEUSI
4 NITASUBIRI -JUX
5 BONGO HIP HOP -FID Q

11.WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1 OTILIA-FM ACADEMIA
2 KIU YA HAKI-MASHUJAA BAND
3 SAUTI YA MAREHEMU-MAPACHA WATATU
4 GANDA LA MUA-THE AFRICAN STARS
(TWANGA PEPETA)
5 WALE WALE-VIJANA NGWASUMA

12.WIMBO BORA WA R&B
1 NITASUBIRI -JUX
2 UNANICHORA -BEN POL
3 VITAMIN MUSIC -BELLE 9 FT JOH MAKINI
4 SISIKII -JUX
5 NI PENZI -DAMIAN SOUL

13.WIMBO BORA WA HIP HOP
1 BONGO HIP HOP -FID Q
2 MFALME -MWANA FA FT GNAKO
3 KIPI SIJASIKIA -PRO J FT DIAMOND
4 GERE -WEUSI
5 I SEE ME -JOH MAKINI
6 XO -JOH MAKINI FT GNAKO
14. WIMBO BORA WA REGGA/DANCE HALL
1 LET THEM KNOW-MAUA
2 MAMA AFRIKA -WARRIORS FROM THE EAST
3 MAISHA MAGUMU-WARRIORS FROM THE EAST
4 GREETINGS FOR YOU-RAS SIX
5 TUJIMWAGE-DEDDY

15.RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
1 FERGUSON
2 MSAFIRI DIOUF
3 SAUTI YA RADI
4 J4
5 KABATANO

16.MSANII BORA WA HIP HOP
1 FID Q
2 JOH MAKINI
3 MWANA FA
4 PROFESSOR JAY (PROF J)
5 ROMA
17.WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1 SURA YAKO -SAUTI SOL
2 KIOO -JAGUAR
3 WALEWALE -JOSE CHAMILION
4 PROKOTO -VICTORIA KIMANI FT
DIAMOND,OMMY DIMPOZ
5 SHOW -VICTORIA KIMANI
18.MTUNZI BORA WA MWAKA- TAARABU
1 MZEE YUSSUF
2 THABITI ABDUL
3 ISHA MASHAUZI
4 ABDALLAH FERESHI
5 HASSAN ALLY
19.MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO FLEVA
1 ALI KIBA
2 DIAMOND
3 BEN POL
4 BARNABA
5 JUX
20.MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1 JOSE MARA
2 NYOSHI EL SAADAT
3 ROGART HEGGA KATAPILA
4 HUSSEIN JUMBE
5 RICHARD MANGUSTINO
21.MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1 FID Q
2 MWANA FA
3 JOH MAKINI
4 NIKKI WA PILI
5 KALAH JEREMAYAH
22.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA
NYIMBO WA MWAKA- BONGO FLEVA
1 NAHREEL
2 MAN WATER
3 MESEN SELEKTA
4 TUDD THOMAS
5 MARCO CHALI
23.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA
NYIMBO WA MWAKA- TAARAB
1 ENRICO
2 MARLON LINJE
24.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA
NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1 ALLAN MAPIGO
2 ENRICO
3 SAID COMORIEN
4 AMOROSO
5 ABABUU MWANA ZANZIBAR
25.VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1 MDOGO MDOGO-DIAMOND
2 NITAMPATA WAPI-DIAMOND
3 MWANA-ALI KIBA
4 OLETHEMBA-LINAH
5 ASANTE-AY
26.WIMBO BORA WA AFRO POP
1 MWANA -ALI KIBA
2 MDOGO MDOGO-DIAMOND
3 NISEME -YAMOTO BAND
4 NITAKUPWELEPWETA -YAMOTO BAND
5 KANYA BOYA- MESEN SELEKTA
6 HAWAJUI -VANESSA MDEE
27.WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1 NANI KAMA MAMA -CHRISTIAN BELLA FT
OMMY DIMPOZ
2 BASI NENDA -MO MUSIC
3 NITAMPATA WAPI -DIAMOND
4 NASIMAMA -LADY JAY DEE
5 HISTORIA -LADY JAY DEE
28.WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA
KITANZANIA
1 WAITE-MRISHO MPOTO FT FELLY KANO
2 VUMA-VITALIS MAEMBE
3 TUMETOKA MBALI-JAGUAR MUSIC
4 MAMA SHABANI-IFA BAND
5 OMWANA-B.K.SANDE
29.MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKIA
1 BARAKA DA PRINCE
2 BEKA TITTLE
3 AFROMANIAC
4 ALICE
5 BIILLNAS
30.WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/
KUSHIRIKIANA
1 FOREVER -LADY JAY DEE FT DABO
2 MFALME -MWANA FA FT GNAKO
3 KIPI SIJASIKIA -PROF J FT DIAMOND
4 KIBOKO YANGU -MWANA FA FT ALI KIBA
5 KEREWA -SHETTA FT DIAMOND
31.BENDI BORA YA MWAKA
1 FM ACADEMIA
2 THE AFRICAN STARS (TWANGA PEPETA)
3 MAPACHA WATATU
4 MASHUJAA BAND
5 MSONDO NGOMA MUSIC BAND
32.KIKUNDI BORA CHA MWAKA- TAARAB
1.JAHAZI MODERN TAARAB
2.MASHAUZI CLASSIC
3.DAR MODERN TAARAB
4.FIVE STARS
5.WAKALI WAO MODERN TARADANCE
33.KIKUNDI BORA CHA MWAKA- BONGO FLEVA
1 YAMOTO BAND
2 WEUSI
3 NAVIKENZO
4 MAKOMMANDO
5 B.O.B


Hakuna maoni