Quick Rocka kaachia audio hii ikiwa ni Remix ya SOPHIA wa Ben Paul

Kwenye 180 POWER ya 99.3MHZ Ice Fm radio nimetambulisha ngoma hii ya mjamaa anaye wakilisha vizuri sana Mbeya the green city mzee mzima quick racka ikiwa ni Rmx ya ngoma ya kwake ben paul sophia kama alivyo fanya Peter Msechu basi quick naye kafanya ila tofauti ni mitaa tu jamaa kajipendelea mitaa ya kwao fanya kuipakua iwe yako hapo chini

                  DOWNLOAD HAPA


Hakuna maoni