RICH MAVOKO AKANUSHA KASHIFA YA KUJICHUBUA CHEKI PICHA HIZI

Msanii wa bongo fleva Rich Mavoko
amekanusha tuhuma za kujichubua
nakusema “ Lazima tuangalie wakati hizi
picha zilipigwa, hio picha nikiwa na
dred Locks ni yazamani sana na siku na
simu bora wala application za kuedit
picha kama sasa, Hii picha mpya
nimepiga na Iphone ” .

Rich Mavoko ameongezea kuwa “ Hata
maisha yangu yamebadilika,so ni
kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua,
wanaonijua watasema sijabadilika zaidi
ya kung’aa tu“.

Hakuna maoni