Ujumbe wa kuhuzunisha kutoka kwa Wastara

Na Rashidi Rukungu

Ikiwa Tanzania imegubikwa na mfululizo wa ajari mbalimbali za barabarani ndani ya muda mfupi watanzania wengi tukiwa tumepoteza ndugu zetu na wengine tukiendelea kuuguza majeruhi wetu 
    Hali hii imekua too much kwa Dada yetu a.k.a shemeji yetu Wastara Juma (Mrs Sajuki) kwan ameendelea kukumbwa na mfululizo wa ajari ambazo zinampelekea kuumia vibaya. 
   
 Akielezea kwenye Account yake ya instagram kwa uchungu baada ya kupata ajari nyingine tena siku ya jana "hii ni ajari ya tisa sasa mfululizo ...naomba mnihurumie na mimi ni binadam na ninafamilia kama kuna mtu nimemkosea anisamehe" mungu amsaidie Dada yetu arejee kwenye hali yake Ameen

Hakuna maoni