Wananchi wenye hasira kali wawapa kichapo askari na kuua mmoja

Na Rashid Rukungu

Askari was pikipki wa Jeshi LA police morogoro waliokua wakitumia pikipiki no PT 823 Mali ya jesh LA police wamewekwa chini ya ulinzi na raiya eneo LA Mindu na raia wamemuua mmoja wao aitwae Ramadhani.

Chanzo cha sakata hili ni ajali ya pikipiki waliokua wakiifukuza ambapo ilimshinda dreva bodaboda na kuingia kwenye lori. Ndipo raia walipoanza kuwatuhumu police ni chanzo cha ajali na police waliamua kufyatua risasi hewani.  

Hali ikawa tofauti, baadala ya raia kutawanyika waliongezeka na kuwazidi nguvu askari.

Cha kushangaza raia wamemuuwa kwa mawe askari mmoja na mwingine walimwambia yeye hana makosa. Aliyeuwawa ni yule anaedaiwa kumuua marehrem Ali Zona muuza magazeti katika harakati za maandamano ya CHADEMA 2011.

Hakuna maoni