Zitto awashushia dongo wanasiasa wenzake kwa kusema *"NG'OMBE HASHINDWI KUTIKISA MKIA WAKE LAKIN MKIA HAUWEZ KUMTIKISA NG'OMBE"*

Na Ripota wetu RKUle usemi wa safari moja huanzisha nyingine waendelea kujidhihirisha wazi baada ya aliekua mwanachama wa chama cha CHADEMA Zuberi Zito Kabwe kuhamia chama cha ACT WAZARENDO na kuonekana kung'ara zaidi.

Tazama picha za wananchi wa mkoa wa Tabora walivyo furika kwa wingi jion ya leo kumsikiliza ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake mikoani kukitangaza chama cha ACT WAZARENDO 
  Na ameweka wazi kua yuko tayari kuungana na UKAWA kama watakua tayari kufuata sera za chama chake.
umati wa watu uliohudhulia mkutano huo
Picha na stori kutoka kwa ripota wa gami dee tz Rashid Rukungu Rk

Hakuna maoni