Mkuu wa mkoa wa Dar es Salam Paul Makondo amekemea vikali kuhusu mashoga katika jiji hilo.
"ni marufuku kwa ushoga kwenye mkoa wangu wa Dar es Salaam na mashoga wote walio kwenye instagram na Facebook watakamatwa na wale wote wanao wa follow mashoga kwenye mitandao ya kijamii basi watakuwa na hatia ile kama ya mashoga'‘- Paul Makonda
Baada ya maneno hayo Shoga masrufu katika mtandao wa Instagram James Delicious ameonesha wazi wazi kua haogopi kauli hiyo nakuwataka watu weweze kumfollow bila woga huku akiponda serikali na viongozi kwa kitendo chakutaka mashoga waache tabia hizo chafu.
Hakuna maoni