Msanii wa kike kutoka Kenya Avril ametua nchini kimya kimya na alipoulizwa alisema kuwa amekuja kutembea tu lakini amekuwa akionekana na mastaa kadhaa mmojawapo akiwa ni Darassa ambaye ameonekana akiwa naye studio pamoja na producer Abbah kitu ambacho kinabashiriwa kuwa ni
Avril akiwa na Darassa pamoja na Producer Abbah aliyetengeneza wimbo kama Utanipenda wa Darassa na Rich Mavoko ndie amehusika pia katika utengenezaji wa ngoma hiyo.
Poa tunaisubili kwa hamu sana hiyo ngoma....
JibuFutaPoa tunaisubili kwa hamu sana hiyo ngoma....
JibuFuta