Linah |
Miongoni mwa wasanii ambao wamedukuliwa account zao za Instagram ni Linah Sanga ambaye account yake ilidukuliwa na watu wasiojulikana, lakini amefanikiwa kuirudisha account yake hiyo yenye followers zaidi ya milion moja.
Baada ya kuirudisha account hiyo Linah alipost picha kwenye account yake hiyo ambayo ni @OfficialLinah na kuandika..
“Thanks Lord my Account is back ???? poleni mashabiki kwa kunimiss???? tupo pamoja. SHUKRANI zangu ziwaendee #TCRA #JESHILAPOLICE @jubilantofficial @official_kolonzo @kapitatechnology @alexmasiga @risgrin @nguzo_jr @director_ghost @dropouts_ent bila kumsahau my big DADY @babutale ????”
unaweza kushare story na mimi kupitia Facebook au whatsapp namba 0676894246
Hakuna maoni