Riwaya: Sitaki Kuoga Na Erenest Njau

MTUNZI : OFFICIALNEST1
SIMULIZI: SITAKI KUOGA
 No.0755399075
  
    ( Sehemu ya kwanza)

Tabia kama ngozi ya mwili kamwe huwezi kuibadili. Unavyoishi na watavyoishi ni tofauti na unavyotaka. Ukijaribu kuibadili hutoweza kama ni tabia uliyozoea kwani kila MTU hapa duniani ana katabia kake alikokazoea kwa hiyo ni  uvumilivu tu kutokana na tabia hizo.

MARIETA  yeye ni msichana aliyekuwa na mabadiliko ya kasi sana Katika mwili wake haswa pale alipokuwa amefikia umri wa kupevuka. Hakutaka kabisa kushawishiwa na MTU yeyote maana Maisha aliyoyapanga anayajua yeye mwenyewe ndivyo alivyoaapa toka alipofikia umri wa miaka ya kupevuka. 

Pia kuna familia tena ya Mwinyi ALLY ambayo kuna kijana NORI ambaye naye hivyo hivyo alikomaa Katika mazingira Yale Yale ambayo kijana yeyote akiyapatia hatoweza kuyaacha na hatimaye kuwa na Maisha magumu Sana'a na mateso Katika hiii dunia 
    Sitaki kuoga ( chanzo cha yote) 

Katika maskani anayoishi NORI na wenzie walikuwa wanapeana simulizi za mahaba na utundu tuu yaani kiufupi hakuna aliyetaka kumwaachia mwenzake hatua ya kusimulia
NORI : mwanangu nakwambia Jana nikijaribu penzi la MTU mzima yaani sitokaa kusaahau
MWADO: Acha hayo mwenzako nilijibana Jana kwa chetezo nilihisi ganzi ya moyo we acha tu 
HUSU: hahaaaa hivi nyie MNA jua penzi la jinsia moja lilivyo tamu 
WOTE :ahaaa weewe acha ujinga tamu kivipi 
Husu alionesha kuitetea alama yake na alijitahidi sana maana alitamani kuwateka kiakili watu wa maskani yale.hivyo bhasi alitetea alama yake imradi tu awapoteze wenzake.
  
Baada ya lisaa limoja na marumbano ya hapa na pale NORI alijiondokea lakin HUSU  Alijitahidi kumfuatilia huku ana jaribu kumpoteza Katika njia HUSU alisema maneno mengi ya kumliwaza na kumshawishi lakin NORI akamwuuliza "lakini wewe HUSU haya mambo na Mimi wapi na wapi we kama umezoea mwenyewe tu miye sihitaji Fanya mwenyewe miye sihitaji
Alionesha nguvu na mwelekeo wa kukataa lakini walionekana kuendelea kuzungumzia habari zile hivyo bhasi NORI alimwegemea HUSU nakumwambia *jambo hili ni kweli* ? Hebu nieleze.

HUSU alivyoona anamwelekeo akaanza kumpakia utafikiri mizigo inaelekea ~nzega~ bhasi mwisho NORI aliinza kuingia kwenye kumi na nane za HUSU alimsindikiza hadi nyumbani kwake na alipomfikisha akamwambia bhasi HUSU karibu ndani upate kunywa hata chai HUSU *akhaa yaani unafikiri ntananasa vyepesi hivyo unavyofikiri* subiri sanaa bhado muda 
Mara mlango ukafunguliwa wweeee HUSU umefuata nini huku baradhuli mkunwa pabaya yaani unawashwa mpka huku sitaki kuamini haya toka haraka HUSU
  *ITAENDELEA* ..................

Nani huyo ambaye kamfukufukuza na kumkaripia pamoja na kumwonja *usikose* Sehemu ya pili simulizi ya sitaki kuoga ndo kwanza kumepambazuka...
    Tag na wengine wengi kadri uwezavyo follow
     @officialnest1 instagram uhondo kamili usikose sehemu zinazofuata .....asante

Hakuna maoni