May 14 imekua ni siku ya kihistoria Mkoani Njombe kwa mara ya kwanza kutolewa Tuzo zilizo kuwa na vipengele kumi vyenye kuwalenga Wanamuziki (Bongo Flava na Gospel), Waigizaji, Wanamichezo na Tuzo ya Heshima.
Tuzo hizi zimeanzishwa na watangazaji wa Ice Fm Gadi Mlwilo (Gami Dee) na Deogratius Mgina (Van Dee) huku zikipewa Support kubwa na radio za mkoani hapo Ice Fm 99.5, Uplands 89.1 na Starter Fm 90.7
Hii ni Orodha ya washindi wa Nyota Awards
1.WIMBO BORA WA MWAKA
DIMAYA - B2K (Winner)
SHOW LOVE- Y JAY
SELINA- OPK
PALEPALE-TOGAMA
NISACHI-RISER STARDIA
NAIKUMBUKA GASPER MC
IBRA MELODY why me
NURU NJEMA muda bado
2.MWANAMUZIKI BORA WA KIUME B2K Y JAY (Winner)
BASAGA MP4
KYABA
OPK
RISER STARDIA
STANY WA RYMES
IBRA MELODY
3.MWANAMUZIKI BORA WA KIKE SHILOLE WA
CAROLINA
NAOMI
MORI BELLA (Winner)
4.MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI
SUPER RECORDS
KYABA LABADABA
ECKO TOUCH
STEVE KING DR BEN (Winner)
ROX TOUCH
5.WIMBO BORA WA HIP HOP PALEPALE-TOGAMA (Winner) BADILISHA POZI-BASAGA WAMENICHOKOZA-DIGODIGO
MIAKA 800- STANY WA RYMES CHAPAA PAG DOG
6.WIMBO BORA WA GOSPEL
YAHWE-EMMA SANGA
KESHO YAKE-MESHACK MIKONDE MFALME MKUU-BETTY BARONGO USIDHALAU WOKOVU-HENRY GADAU NATAKA NIMUONE YESU-UTUKUFU BAND MAWAZO YA MUNGU-VALENTINA MANGULA (Winner) WAJANJA TUMEWAHI KWA YESU- MOSEZI MLWELWA
7.MUIGIZAJI BORA WA KIUME ASHERY MWANDE
HERRY THOMAS LUFUNDA
FAUSTIN MHAGAMA (Winner)
RAMA SHOMARI
AMENIOKOA CHAULA
8.MUIGIZAJI BORA WA KIKE (H) HALIMA MKWIZU MANTA (Winner) MARIAM HUSSEIN
NAYLAT HUSSEIN
NASMA
AISHA
9.MWANAMICHEZO BORA
ELIA NYONDO
HASSAN KAPALATA (Winner)
REMY MBULIGWE
AHMED HASSAN
BANYAI KOCHA
FRANCINS DRY
10.TUZO YA HESHIMA DOMINIC KATUNDULU
TAZAMA YOUTUBE
Hakuna maoni