Nathan Gadi Mlwilo Biography a.k.a Prince Nathan (Nathan Gamideetz)

Tarehe 15 August 2019 majira ya saa 21:30 Usiku imeingia katika historia ya ongezeko katika familia ya Gadi Mlwilo na Sizalina Miho.
Nathan Mlwilo (Prince Nathan) Ni mtoto wa kwanza wa Gadi Mlwilo (Gami Dee) na Sizalina Miho.


Nathan alizaliwa katika Hospital ya Lugalo Iliopo Mwenge Jijini Dar es salaam.

Jina Nathani lina uhusiano na Nathanieli na Yonathani, na majina yote matatu yanamaanisha kitu sawa na “Zawadi ya Mungu” au “Mungu ametoa.”  Katika Agano la Kale, Nathani alikuwa nabii na mmoja wa wana wa Mfalme Daudi;  alitenda kama mjumbe kwa Mfalme Daudi na anaonwa kuwa mmoja wa mababu za Yesu.

Picha Za Nathan zilianza kuonekana mitandaoni tarehe 28 September ikiwa ni siku ya kusherekea 40 yake ya kuzaliwa (Happy 40 days) ambayo ilitimia siku ya 23. Siku ya tarehe 1 October ndio siku ya kwanza na mara ya kwanza Nathan kunyolewa nywele kichwani na bibiake na kuanza maisha mapya chini ya jua.

January 2023 Nathan Mlwilo Alianza Kusoma katika shule ya Consolata Pre & Primary iliopo Makambako Njombe 

Kwa picha zaidi tembelea Instagram account yake ambayo ni @Nathan_gamideetz

Maoni 1 :

  1. 😁😁 duh,haya mwanangu Nathan,kila lenye heri likawe juu ya maisha yako kijana wangu,nakupenda sana

    JibuFuta