ETHAN GADI MLWILO BIOGRAPHY (Ethan Gami Dee Tz)


Tarehe 18/07/2023 Saa sita mchana Ethan Gadi Mlwilo Alizaliwa katika hospital ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam.

Ethan Mlwilo ni mtoto wa Pili katika familia Ya Gadi Mlwilo (gamideetz) na Sizalina Miho
Tarehe 19/07/2023 Ndio Siku Lilipotolewa jina la Ethan Mlwilo 

Jina Ethan ni asili ya Kiebrania na mara nyingi humaanisha "nguvu," "salama," "imara," na "imara."  Hizi ni sifa zinazoonekana katika Ethan, "MEzrahite," kutoka kwa Biblia.  Pia anatazamwa kuwa mwenye hekima.  Ni jina lenye nguvu ya kudumu na umaarufu, linaonekana kila mahali kutoka kwa filamu za "Mission: Impossible" hadi kwenye mnyororo wa samani unaojulikana sana.
Tarehe 26 Dec 2023 Ethan Gadi Mlwilo Alibatizwa Katika Kanisa la KKKT Mjimwema Makambako Njombe na wasimamizi ni Cleef Mlelwa na Lightness Mtewele.

Hakuna maoni